Merchant BillPay-Namba
The BillPay-Namba is a unique 4-digit identifier assigned to every ClickPesa merchant. It serves as the root reference for all BillPay Control Numbers and can also be used directly to deposit funds into the merchant’s own account.
How to Access Your BillPay-Namba
You can find your BillPay-Namba by following these steps:
- Log in to the Merchant Dashboard.
- Go to Settings → Collection.
- Scroll down to the BillPay Payments Collection section under Collection Tools.
- Your 4-digit BillPay-Namba will be displayed there.
How to Deposit Using Your BillPay-Namba
Merchants can use their own BillPay-Namba to deposit funds into their ClickPesa balance through Tanzania’s leading mobile money services such as Tigopesa, Airtel Money, Halopesa and M-Pesa, as well as CRDB SIM Banking (APP and USSD), CRDB Internet Banking and CRDB Wakalas
via Airtel Money
- Piga
*150*60#
- Chagua Chaguo
5
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
2
--- Chagua Kampuni - Chagua Chaguo
7
--- Chagua Kampuni - Weka Namba --- 47
- Ingiza namba ya Kumbukumbu --- []
- Weka Kiasi
- Chagua
1
--- (Ndio) Kuthibitisha - Weka PIN
- Piga
*150*60#
- Chagua Chaguo
5
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
2
--- Chagua Kampuni - Chagua Chaguo
7
--- Chagua Kampuni - Weka Namba --- 47
- Ingiza namba ya Kumbukumbu --- []
- Weka Kiasi
- Chagua
1
--- (Ndio) Kuthibitisha - Weka PIN
- Fungua AirtelMoney App
- Bonyeza Lipa Bili
- Bonyeza Ingiza jina la biashara au namba
- Andika “clickpesa”
- Chagua CLICKPESA TANZANIA
- Weka Kumbukumbu ya Malipo --- []
- Weka Kiasi
- Bonyeza Endelea
- Weka Namba ya Siri
via M-Pesa
- Piga
*150*01#
- Chagua Chaguo
4
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
3
--- Ingiza Namba ya Kampuni - Ingiza Namba ya Kampuni --- [M-Pesa Merchant Number] - Available at onboarding
- Weka Kumbukumbu ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Piga
*150*01#
- Chagua Chaguo
4
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
3
--- Ingiza Namba ya Kampuni - Ingiza Namba ya Kampuni --- [M-Pesa Merchant Number] - Available at onboarding
- Weka Kumbukumbu ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Fungua M-Pesa App
- Bonyeza Hamisha Pesa
- Bonyeza Lipia kwa M-Pesa
- Bonyeza Kitambulisho cha biashara na Weka [M-Pesa Merchant Number]
- Bonyeza Kumbukumbu na Weka []
- Weka Kiasi
- Bonyeza Endelea
- Bonyeza Lipa sasa na Ingiza Namba ya Siri
via Mixx by Yas (Tigopesa/Zantel)
- Piga
*150*01#
- Chagua Chaguo
4
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
3
--- Ingiza Namba ya Kampuni - Ingiza Namba ya Kampuni --- 889999
- Weka Kumbukumbu ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Piga
*150*01#
- Chagua Chaguo
4
--- Lipia Bili - Chagua Chaguo
3
--- Ingiza Namba ya Kampuni - Ingiza Namba ya Kampuni --- 889999
- Weka Kumbukumbu ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
via CRDB
- Piga
*150*03#
- Chagua
1
--- Simbanking - Weka Namba ya Siri
- Chagua
4
--- Pay Bills - Chagua
6
--- Taasisi - Chagua
7
--- Nyinginezo - Chagua
N
–— Next - Chagua
N
–— Next - Chagua CLICKPESA
- Weka Namba ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Thibitisha Malipo
- Piga
*150*03#
- Chagua
1
--- Simbanking - Weka Namba ya Siri
- Chagua
4
--- Pay Bills - Chagua
6
--- Taasisi - Chagua
7
--- Nyinginezo - Chagua
N
–— Next - Chagua
N
–— Next - Chagua CLICKPESA
- Weka Namba ya Malipo --- []
- Ingiza Kiasi
- Thibitisha Malipo
- Fungua CRDB SimBanking App
- Weka Namba ya Siri ya SimBanking
- Bonyeza Malipo katika menyu ya chini
- Bonyeza Malipo Zaidi
- Chagua CLICKPESA Kwenye listi au andika CLICKPESA Juu Kwenye Tafuta huduma
- Weka Namba ya Malipo --- []
- Bonyeza PATA TAARIFA
- Hakikisha Taarifa za Bili, Chagua Akaunti Ya Kutoa na Weka Kiasi
- Bonyeza ENDELEA
- Hakikisha Taarifa za Muamala na Bonyeza THIBITISHA
- Login into your CRDB Internet Banking portal
- Select Payment
- Select Bill Payment
- Company Category --- Select Others
- Company Name — Select CLICKPESA
- Enter Reference Number --- []
- Tembelea wakala CRDB aliye karibu nawe
- Omba kulipia bili kwa namba ya malipo ya CRDB
- Toa jina la taasisi --- CLICKPESA
- Toa namba ya nmaba ya malipo --- []
- Toa kiasi
- Tembelea tawi la CRDB lililo karibu nawe
- Omba kulipia bili kwa namba ya malipo ya CRDB
- Toa jina la taasisi --- CLICKPESA
- Toa namba ya nmaba ya malipo --- []
- Toa kiasi
Funds will reflect instantly on your ClickPesa Dashboard, and a confirmation will be sent via SMS and email.