Customers can conveniently make payments using ClickPesa BillPay Control Number through Tanzania’s leading mobile money services such as Tigopesa, Airtel Money, Halopesa and M-Pesa, as well as CRDB SIM Banking (APP and USSD), CRDB Internet Banking and CRDB Wakalas.

Pay via Airtel Money

  1. Piga *150*60#
  2. Chagua Chaguo 5 --- Lipia Bili
  3. Chagua Chaguo 2 --- Chagua Kampuni
  4. Chagua Chaguo 7 --- Chagua Kampuni
  5. Weka Namba --- 47
  6. Ingiza namba ya Kumbukumbu --- [BillPay Control Number]
  7. Weka Kiasi
  8. Chagua 1 --- (Ndio) Kuthibitisha
  9. Weka PIN

Pay via M-Pesa

  1. Piga *150*01#
  2. Chagua Chaguo 4 --- Lipia Bili
  3. Chagua Chaguo 3 --- Ingiza Namba ya Kampuni
  4. Ingiza Namba ya Kampuni --- [M-Pesa Merchant Number] - Available at onboarding
  5. Weka Kumbukumbu ya Malipo --- [BillPay Control Number]
  6. Ingiza Kiasi
  7. Ingiza Namba ya Siri

Pay via Mixx by Yas (Tigopesa/Zantel)

  1. Piga *150*01#
  2. Chagua Chaguo 4 --- Lipia Bili
  3. Chagua Chaguo 3 --- Ingiza Namba ya Kampuni
  4. Ingiza Namba ya Kampuni --- 889999
  5. Weka Kumbukumbu ya Malipo --- [BillPay Control Number]
  6. Ingiza Kiasi
  7. Ingiza Namba ya Siri

Pay via CRDB

  1. Piga *150*03#
  2. Chagua 1 --- Simbanking
  3. Weka Namba ya Siri
  4. Chagua 4 --- Pay Bills
  5. Chagua 6--- Taasisi
  6. Chagua 7 --- Nyinginezo
  7. Chagua N –— Next
  8. Chagua N –— Next
  9. Chagua CLICKPESA
  10. Weka Namba ya Malipo --- [BillPay Control Number]
  11. Ingiza Kiasi
  12. Thibitisha Malipo